The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 3 › Mhubiri 3:6

Mhubiri 3:6

wakati wa kutafuta na wakati wa kupoteza, 2 wakati wa kuweka na wakati wa kutupa, 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

A time to get, and a time to lose; a time to keep, and a time to cast away;

In Context

5wakati wa kutawanya mawe na wakati wa kukusanya mawe, 2 wakati wa kukumbatia na wakati wa kutokumbatia, 2

7wakati wa kurarua na wakati wa kushona, 2 wakati wa kunyamaza na wakati wa kuzungumza, 2

Read all of Mhubiri 3

Cross References

Genesis 30:30Kidogo ulichokuwa nacho kabla sijaja kimeongezeka sana, naye Bwana amekubariki popote nilipokuwa. Lakini sasa, ni lini nitashughulikia mambo ya nyumba yangu mwenyewe?”

Exodus 12:35Waisraeli wakafanya kama Mose alivyowaelekeza, nao wakawaomba Wamisri wawapatie vitu vya fedha, dhahabu na nguo.

2 Kings 5:26Lakini Elisha akamwambia, “Je, roho yangu haikuwa pamoja nawe wakati yule mtu aliposhuka kutoka kwenye gari lake ili kukulaki? Je, huu ni wakati wa kupokea fedha au kupokea nguo, mashamba ya mizeituni, mashamba ya mizabibu, makundi ya kondoo na mbuzi, makundi ya ngʼombe, au watumishi wa kiume na wa kike?

2 Kings 8:9Hazaeli akaenda kumlaki Elisha, akiwa amechukua zawadi ya kila kitu kizuri kilichopatikana Dameski, mizigo iliyobebwa na ngamia arobaini. Akaingia ndani na kusimama mbele yake, akasema, “Mwanao Ben-Hadadi mfalme wa Aramu amenituma niulize, ‘Je, nitapona ugonjwa huu?’ ”

Ecclesiastes 11:1Tupa mkate wako juu ya maji, 2 kwa maana baada ya siku nyingi 2 utaupata tena. 1

Jonah 1:5Mabaharia wote waliogopa na kila mmoja akamlilia mungu wake mwenyewe. Nao wakatupa mizigo baharini ili meli ipungue uzito. Lakini Yona alikuwa ameteremkia chumba cha ndani ya meli, mahali ambapo alilala na kupatwa na usingizi mzito.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 3:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 3:5Mhubiri 3Mhubiri 3:7 →