Genesis 32:11
Nakuomba, uniokoe na mkono wa ndugu yangu Esau, kwa maana ninaogopa kuwa atakuja kunishambulia, pia mama pamoja na watoto wao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 27:41Esau akawa na kinyongo dhidi ya Yakobo kwa ajili ya baraka ambazo baba yake alikuwa amembariki. Akasema moyoni mwake, “Siku za kuomboleza kwa ajili ya baba yangu zimekaribia, ndipo nitamuua ndugu yangu Yakobo.”
1 Samuel 12:10Wakamlilia Bwana na kusema, ‘Tumetenda dhambi; tumemwacha Bwana na kutumikia Mabaali na Maashtorethi. Lakini sasa tuokoe kutoka mikono ya adui zetu, nasi tutakutumikia.’
2 Samuel 7:18Ndipo Mfalme Daudi akaingia ndani, akaketi mbele za Bwana, akasema: “Ee Bwana Mwenyezi, mimi ni nani, na jamaa yangu ni nini, hata umenileta mpaka hapa nilipo?
Psalms 25:20Uyalinde maisha yangu na uniokoe, 2 usiniache niaibike, 2 kwa maana nimekukimbilia wewe. 1
Psalms 43:1Ee Mungu unihukumu, 2 nitetee dhidi ya taifa lisilomcha Mungu, 2 niokoe na watu wadanganyifu na waovu. 1
Psalms 119:134Niokoe na uonevu wa wanadamu, 2 ili niweze kutii mausia yako. 1