Ayubu 1:3
naye alikuwa na kondoo elfu saba, ngamia elfu tatu, jozi mia tano za maksai, na punda mia tano, tena alikuwa na idadi kubwa ya watumishi. Alikuwa mtu mkuu sana miongoni mwa watu wa Mashariki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Alikuwa na wana saba na binti watatu,
Cross References
Genesis 12:16Kwa ajili ya Sarai, Farao akamtendea Abramu mema, naye Abramu akapata kondoo, ngʼombe, punda, ngamia na watumishi wa kiume na wa kike.
Genesis 24:35Bwana amembariki sana bwana wangu, amekuwa tajiri. Amempa kondoo na ngʼombe, fedha na dhahabu, watumishi wa kiume na wa kike, ngamia na punda.
Genesis 29:1Kisha Yakobo akaendelea na safari yake na akafika kwenye nchi za mataifa ya mashariki.
Genesis 34:23Je, si mifugo yao, mali zao na wanyama wao wengine wote watakuwa wetu? Basi na tuwape kibali, nao wataishi miongoni mwetu.”
Numbers 31:32Nyara zilizobaki kutoka mateka ambayo askari walichukua ni kondoo 675,000,
Judges 6:5Walipanda na mifugo yao na mahema yao, mfano wa makundi ya nzige. Ilikuwa haiwezekani kuwahesabu watu na ngamia zao; wakavamia nchi ili kuiharibu.