Genesis 34:18
Pendekezo lao likawa jema kwa Hamori na Shekemu mwanawe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And their words pleased Hamor, and Shechem Hamor’s son.
In Context
17Lakini mkikataa kutahiriwa, tutamchukua ndugu yetu na kuondoka.”
Cross References
Genesis 45:16Habari zilipofika kwenye jumba la Farao kwamba ndugu zake Yosefu wamefika, Farao na maafisa wake wote wakafurahi.