Mwanzo 34:19
Kijana mdogo, ambaye alikuwa ameheshimiwa kati ya wote walioishi nyumbani mwa baba yake, hakupoteza muda kufanya waliyoyasema, kwa sababu alikuwa amependezwa sana na binti Yakobo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Pendekezo lao likawa jema kwa Hamori na Shekemu mwanawe.
20Kwa hiyo Hamori na Shekemu mwanawe walikwenda kwenye lango la mji kuzungumza na wenzao wa mjini.
Cross References
Genesis 41:20Hao ngʼombe waliokonda na wabaya sana wakawala wale ngʼombe saba walionona waliojitokeza kwanza.
1 Samuel 22:14Ahimeleki akamjibu mfalme, “Ni nani miongoni mwa watumishi wako wote aliye mwaminifu kama Daudi, mkwewe mfalme, kiongozi wa walinzi wako na anayeheshimika sana katika watu wa nyumbani mwako?
1 Chronicles 4:9Yabesi aliheshimiwa kuliko ndugu zake. Mama yake alimwita Yabesi, akisema, “Nilimzaa kwa huzuni.”
Isaiah 3:3jemadari wa kikosi cha watu hamsini 2 na mtu mwenye cheo, mshauri, 2 fundi stadi na mlozi mjanja. 1
Isaiah 23:8Ni nani amepanga hili dhidi ya Tiro, 2 mji utoao mataji, 1 ambao wafanyabiashara wake ni wana wa mfalme 2 na wachuuzi wake ni watu mashuhuri wa dunia? 1
Acts 13:50Lakini Wayahudi wakawachochea wanawake wenye kumcha Mungu, wenye vyeo pamoja na watu maarufu katika mji, wakachochea mateso dhidi ya Paulo na Barnaba na kuwafukuza kutoka eneo hilo.