Genesis 35:19
Kwa hiyo Raheli akafa, akazikwa kando ya njia iendayo Efrathi (ndio Bethlehemu).
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Rachel died, and was buried in the way to Ephrath, which is Bethlehem.
In Context
20Juu ya kaburi lake, Yakobo akasimamisha nguzo, ambayo mpaka leo inatambulisha kaburi la Raheli.
Cross References
Joshua 19:15Miji mingine iliyojumuishwa ni Katathi, Nahalali, Shimroni, Idala na Bethlehemu. Kulikuwa na miji kumi na miwili pamoja na vijiji vyake.
Ruth 1:2Mtu huyu aliitwa Elimeleki, mkewe aliitwa Naomi, na hao wanawe wawili waliitwa Maloni na Kilioni. Walikuwa Waefrathi kutoka Bethlehemu ya Yuda. Wakaenda katika nchi ya Moabu, wakaishi huko.
1 Samuel 10:2Utakapoondoka kwangu leo, utakutana na watu wawili karibu na kaburi la Raheli, huko Selsa kwenye mpaka wa Benyamini. Watakuambia, ‘Punda wale uliotoka kwenda kuwatafuta, wamekwisha kupatikana. Sasa baba yako ameacha kufikiri kuhusu punda na sasa ana hofu kukuhusu wewe. Anauliza, “Nitafanyaje kuhusu mwanangu?” ’
2 Samuel 23:14Wakati huo Daudi alikuwa katika ngome, na kambi ya Wafilisti ilikuwa huko Bethlehemu.
1 Chronicles 2:51Salma akamzaa Bethlehemu, naye Harefu akamzaa Beth-Gaderi. 1
Micah 5:1Panga majeshi yako, ee mji wa majeshi, 2 kwa kuwa kuzingirwa kumepangwa dhidi yetu. 1 Watampiga mtawala wa Israeli 2 shavuni kwa fimbo. 1