Genesis 35:18
Hapo alipopumua pumzi yake ya mwisho, kwa maana alikuwa akifa, akamwita mwanawe Benoni. + 35:18 Benoni maana yake Mwana wa huzuni yangu. Lakini babaye akamwita Benyamini. + 35:18 Benyamini maana yake Mwana wa mkono wangu wa kuume.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Kwa hiyo Raheli akafa, akazikwa kando ya njia iendayo Efrathi (ndio Bethlehemu).
Cross References
Genesis 35:24Wana wa Raheli walikuwa: 2 Yosefu na Benyamini. 1
Genesis 42:38Lakini Yakobo akasema, “Mwanangu hatashuka huko pamoja nanyi; ndugu yake amekufa naye ndiye peke yake aliyebaki. Ikiwa atapatwa na madhara katika safari mnayoiendea, mtashusha kichwa changu chenye mvi kaburini kwa masikitiko.”
Genesis 44:27“Mtumwa wako baba yangu alituambia, ‘Mnajua mke wangu alinizalia wana wawili.
Exodus 12:7Ndipo watakapochukua baadhi ya hiyo damu na kuipaka kwenye vizingiti vya juu na miimo ya milango ya nyumba ambamo watakula wana-kondoo hao.
1 Chronicles 4:9Yabesi aliheshimiwa kuliko ndugu zake. Mama yake alimwita Yabesi, akisema, “Nilimzaa kwa huzuni.”
Psalms 80:17Mkono wako na utulie juu ya mtu aliyeko mkono wako wa kuume, 2 mwana wa mtu uliyemlea kwa ajili yako mwenyewe. 1