Genesis 36:10
Haya ndiyo majina ya wana wa Esau: 2 Elifazi, mwana wa Esau ambaye mkewe Ada alimzalia; na Reueli, mwana wa Esau ambaye mkewe Basemathi alimzalia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Hawa ndio wazao wa Esau, baba wa Waedomu, katika nchi ya kilima cha Seiri. 1
11Wana wa Elifazi ni: 2 Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi. 2
Cross References
1 Chronicles 1:35Wana wa Esau walikuwa: 2 Elifazi, Reueli, Yeushi, Yalamu na Kora. 1