Genesis 36:9
Hawa ndio wazao wa Esau, baba wa Waedomu, katika nchi ya kilima cha Seiri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And these are the generations of Esau the father of the Edomites in mount Seir:
In Context
8Kwa hiyo Esau (ambaye ni Edomu) aliishi katika nchi ya kilima huko Seiri.
Cross References
Genesis 32:4Akawaagiza akisema: “Hili ndilo mtakalomwambia bwana wangu Esau: ‘Mtumishi wako Yakobo anasema, nimekuwa nikiishi pamoja na Labani na nimekuwako huko mpaka sasa.
Deuteronomy 2:5Msiwachokoze kwa vita kwa maana sitawapa ninyi sehemu yoyote ya nchi yao, hata sehemu ya kutosha kuweka wayo wenu juu yake. Nimempa Esau nchi ya vilima ya Seiri kama yake mwenyewe.
Obadiah 1:1Maono ya Obadia. Hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi kuhusu Edomu: 1 Tumesikia ujumbe kutoka kwa Bwana: 2 Mjumbe alitumwa kwa mataifa kusema, 1 “Inukeni, twendeni tukapigane vita dhidi yake.” 1