Genesis 36:22
Wana wa Lotani walikuwa: 2 Hori na Homamu. Timna alikuwa dada yake Lotani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the children of Lotan were Hori and Hemam; and Lotan’s sister was Timna.
In Context
21Dishoni, Eseri na Dishani. Hawa ndio wana wa Seiri huko Edomu waliokuwa wakuu kwa Wahori. 1
23Wana wa Shobali walikuwa: 2 Alvani, Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu. 1
Cross References
1 Chronicles 1:39Wana wa Lotani walikuwa wawili: 2 Hori na Homamu. Lotani alikuwa na dada yake aliyeitwa Timna. 1