1 Chronicles 1:39
Wana wa Lotani walikuwa wawili: 2 Hori na Homamu. Lotani alikuwa na dada yake aliyeitwa Timna. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Lotan; Hori, and Homam: and Timna was Lotan’s sister.
In Context
38Wana wa Seiri walikuwa: 2 Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, Dishoni, Eseri na Dishani. 1
Cross References
Genesis 36:22Wana wa Lotani walikuwa: 2 Hori na Homamu. Timna alikuwa dada yake Lotani. 1
Deuteronomy 2:22Bwana alikuwa amefanya vivyo hivyo kwa wazao wa Esau, ambao waliishi Seiri, wakati alipowaangamiza Wahori watoke mbele yao. Waliwafukuza na wao wakaishi mahali pao mpaka leo.