Genesis 36:27
Wana wa Eseri walikuwa: 2 Bilhani, Zaavani na Akani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The children of Ezer are these; Bilhan, and Zaavan, and Akan.
In Context
26Wana wa Dishoni walikuwa: 2 Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani. 1
28Wana wa Dishani walikuwa: 2 Usi na Arani. 1
Cross References
Genesis 36:21Dishoni, Eseri na Dishani. Hawa ndio wana wa Seiri huko Edomu waliokuwa wakuu kwa Wahori. 1
1 Chronicles 1:38Wana wa Seiri walikuwa: 2 Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, Dishoni, Eseri na Dishani. 1