1 Nyakati 1:38
Wana wa Seiri walikuwa: 2 Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, Dishoni, Eseri na Dishani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Seir; Lotan, and Shobal, and Zibeon, and Anah, and Dishon, and Ezar, and Dishan.
In Context
39Wana wa Lotani walikuwa wawili: 2 Hori na Homamu. Lotani alikuwa na dada yake aliyeitwa Timna. 1
Cross References
Genesis 36:20Hawa ndio walikuwa wana wa Seiri, Mhori, waliokuwa wakiishi katika nchi ile: 2 Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana,