Mwanzo 36:37
Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ngʼambo ya Mto Frati akawa mfalme baada yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Samlah died, and Saul of Rehoboth by the river reigned in his stead.
In Context
36Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake. 1
38Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake. 1
Cross References
1 Chronicles 1:48Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ngʼambo ya Mto Frati, akawa mfalme baada yake. 2