Genesis 36:4
Ada akamzalia Esau Elifazi, Basemathi akamzaa Reueli,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Adah bare to Esau Eliphaz; and Bashemath bare Reuel;
In Context
3pia akaoa Basemathi binti wa Ishmaeli, dada yake Nebayothi.
5Oholibama akamzaa Yeushi, Yalamu na Kora. Hawa ndio wana wa Esau waliozaliwa kwake huko Kanaani.
Cross References
Exodus 2:18Hao wasichana waliporudi nyumbani kwa Reueli baba yao, akawauliza, “Imekuwaje leo mmerudi mapema hivyo?”
1 Chronicles 1:35Wana wa Esau walikuwa: 2 Elifazi, Reueli, Yeushi, Yalamu na Kora. 1