Genesis 36:3
pia akaoa Basemathi binti wa Ishmaeli, dada yake Nebayothi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Bashemath Ishmael’s daughter, sister of Nebajoth.
In Context
4Ada akamzalia Esau Elifazi, Basemathi akamzaa Reueli,
Cross References
Genesis 28:9Ndipo Esau akaenda kwa Ishmaeli, akamwoa Mahalati, ndugu wa Nebayothi na binti wa Ishmaeli mwana wa Abrahamu, kuongezea wale wake wengine aliokuwa nao. 1 Ndoto Ya Yakobo Huko Betheli