Mwanzo 37:20
Njooni sasa, tumuue na kumtupa katika shimo mojawapo na tuseme kwamba mnyama mkali amemrarua. Kisha tutaona matokeo ya ndoto zake.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Wakaambiana, “Yule mwota ndoto anakuja!
21Reubeni aliposikia jambo hili, akajaribu kumwokoa kutoka mikononi mwao akasema, “Tusiutoe uhai wake.
Cross References
1 Samuel 24:20Ninajua kwamba hakika utakuwa mfalme na ya kwamba ufalme wa Israeli utakuwa imara mikononi mwako.
1 Kings 13:24Alipokuwa akienda akakutana na simba njiani, akamuua na maiti yake ikabwagwa barabarani, yule punda wake na simba wakiwa wamesimama karibu yake.
Psalms 64:5Kila mmoja humtia moyo mwenzake 2 katika mipango mibaya; 1 huzungumza juu ya kuficha mitego yao, 2 nao husema, “Ni nani ataiona?” 1
Proverbs 1:11Kama wakisema, “Twende tufuatane; 2 tukamvizie mtu na kumwaga damu, 2 njoo tukavizie nafsi isiyo na hatia; 1
Proverbs 6:17macho ya kiburi, 3 ulimi udanganyao, 3 mikono imwagayo damu isiyo na hatia, 3
Proverbs 27:4Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, 2 lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu? 1