Proverbs 1:11
Kama wakisema, “Twende tufuatane; 2 tukamvizie mtu na kumwaga damu, 2 njoo tukavizie nafsi isiyo na hatia; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Mwanangu, kama wenye dhambi wakikushawishi, 2 usikubaliane nao. 1
Cross References
Psalms 10:8Huvizia karibu na vijiji; 2 kutoka mafichoni huwanasa wasio na hatia, 2 akivizia wapitaji. 1
Psalms 35:7Kwa vile walinifichia wavu wao bila sababu, 2 na bila sababu wamenichimbia shimo, 1
Psalms 64:5Kila mmoja humtia moyo mwenzake 2 katika mipango mibaya; 1 huzungumza juu ya kuficha mitego yao, 2 nao husema, “Ni nani ataiona?” 1
Proverbs 1:18Watu hawa huvizia kumwaga damu yao wenyewe; 2 hujivizia tu wenyewe! 1
Proverbs 24:15Usivizie kama haramia afanyavyo ili kuyashambulia 2 makao ya mwenye haki, 2 wala usiyavamie makazi yake, 1
Proverbs 30:14wale ambao meno yao ni panga 2 na ambao mataya yao yamewekwa visu 1 kuwaangamiza maskini katika nchi, 2 na wahitaji kutoka miongoni mwa wanadamu. 1