Genesis 37:31
Kisha wakalichukua lile joho la Yosefu, wakachinja mbuzi na kulichovya katika damu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they took Joseph’s coat, and killed a kid of the goats, and dipped the coat in the blood;
In Context
30Akawarudia ndugu zake na kusema, “Kijana hayuko mle! Nielekee wapi sasa?”
Cross References
Genesis 37:3Basi, Israeli akampenda Yosefu kuliko yeyote miongoni mwa kaka zake, kwani ni mwanawe wa uzeeni, akamshonea joho lililorembwa vizuri sana.
Proverbs 28:13Yeye afichaye dhambi zake hatafanikiwa, 2 bali yeyote aziungamaye na kuziacha hupata rehema. 1