Mwanzo 37:30
Akawarudia ndugu zake na kusema, “Kijana hayuko mle! Nielekee wapi sasa?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he returned unto his brethren, and said, The child is not; and I, whither shall I go?
In Context
29Reubeni aliporudi kutazama kwenye lile shimo na kuona kwamba Yosefu hayupo, alirarua nguo zake.
31Kisha wakalichukua lile joho la Yosefu, wakachinja mbuzi na kulichovya katika damu.
Cross References
Genesis 37:20Njooni sasa, tumuue na kumtupa katika shimo mojawapo na tuseme kwamba mnyama mkali amemrarua. Kisha tutaona matokeo ya ndoto zake.”
Genesis 42:32Tulizaliwa ndugu kumi na wawili, wana wa baba mmoja. Mmoja alikufa, na mdogo wetu wa mwisho yupo na baba yetu huko Kanaani.’
Genesis 42:36Yakobo baba yao akawaambia, “Ninyi mmenipokonya watoto wangu. Yosefu hayupo na Simeoni hayupo tena na sasa mnataka kumchukua Benyamini. Kila kitu ni kinyume nami!”