The Bible Software
bible.softwareMwanzoMwanzo 37 › Mwanzo 37:36

Mwanzo 37:36

Wakati ule ule, Wamidiani wakamuuza Yosefu huko Misri kwa Potifa, mmojawapo wa maafisa wa Farao, aliyekuwa mkuu wa ulinzi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the Midianites sold him into Egypt unto Potiphar, an officer of Pharaoh’s, and captain of the guard.

In Context

35Wanawe wote na binti zake wakaja kumfariji, lakini hakukubali kufarijiwa. Akasema, “Hapana, nitamwombolezea mwanangu mpaka nimfikie kaburini.” Kwa hiyo baba yake akaendelea kumlilia.

Read all of Mwanzo 37

Cross References

Genesis 25:1Abrahamu alioa mke mwingine, ambaye jina lake aliitwa Ketura.

Genesis 39:1Wakati huu Yosefu alikuwa amechukuliwa mpaka Misri. Mmisri aliyeitwa Potifa aliyekuwa mmojawapo wa maafisa wa Farao, mkuu wa ulinzi, akamnunua Yosefu kutoka kwa Waishmaeli waliomleta Misri.

2 Kings 25:8Mnamo siku ya saba ya mwezi wa tano, katika mwaka wa kumi na tisa wa utawala wa Nebukadneza mfalme wa Babeli, Nebuzaradani jemadari wa askari walinzi wa mfalme, afisa wa mfalme wa Babeli, alikuja Yerusalemu.

Isaiah 56:3Usimwache mgeni aambatanaye na Bwana aseme, 2 “Hakika Bwana atanitenga na watu wake.” 1 Usimwache towashi yeyote alalamike akisema, 2 “Mimi ni mti mkavu tu.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mwanzo 37:36

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mwanzo 37:35Mwanzo 37