The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 56 › Isaiah 56:3

Isaiah 56:3

Usimwache mgeni aambatanaye na Bwana aseme, 2 “Hakika Bwana atanitenga na watu wake.” 1 Usimwache towashi yeyote alalamike akisema, 2 “Mimi ni mti mkavu tu.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Neither let the son of the stranger, that hath joined himself to the LORD, speak, saying, The LORD hath utterly separated me from his people: neither let the eunuch say, Behold, I am a dry tree.

In Context

2Amebarikiwa mtu yule atendaye hili, 2 mtu yule alishikaye kwa uthabiti, 1 yeye ashikaye Sabato bila kuinajisi, 2 auzuiaye mkono wake usifanye uovu wowote.” 1

4Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa matowashi washikao Sabato zangu, 2 ambao huchagua kile kinachonipendeza 2 na kulishika sana agano langu: 1

Read all of Isaiah 56

Cross References

Numbers 18:4Watajiunga nanyi na watawajibika kwa utunzaji wa Hema la Kukutania, yaani kazi zote kwenye Hema, wala hakuna mtu mwingine yeyote atakayeweza kusogea karibu hapo mlipo.

Deuteronomy 23:1Asiingie mtu yeyote aliyehasiwa kwa kupondwa makende au kwa kukatwa uume wake katika kusanyiko la Bwana.

Deuteronomy 23:9Unapokuwa umepiga kambi dhidi ya adui zako, jitenge na kitu chochote kisicho safi.

Isaiah 14:1Bwana atamhurumia Yakobo, 2 atamchagua Israeli tena, 2 na kuwakalisha katika nchi yao wenyewe. 1 Wageni wataungana nao 2 na kujiunga na nyumba ya Yakobo. 1

Isaiah 56:5hao nitawapa ndani ya Hekalu langu na kuta zake 2 kumbukumbu na jina bora 2 kuliko kuwa na watoto wa kiume na wa kike: 1 nitawapa jina lidumulo milele, 2 ambalo halitakatiliwa mbali. 1

Jeremiah 39:16“Nenda ukamwambie Ebed-Meleki Mkushi, ‘Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: Ninakaribia kutimiza maneno yangu dhidi ya mji huu kwa njia ya maafa, wala si kwa kuwafanikisha. Wakati huo hayo yatatimizwa mbele ya macho yako.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 56:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 56:2Isaiah 56Isaiah 56:4 →