Genesis 39:17
Ndipo akamweleza kisa hiki, akisema: “Yule mtumwa wa Kiebrania uliyetuletea alinijia ili kunidhihaki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Yule mwanamke akaliweka lile vazi karibu naye mpaka Potifa aliporudi nyumbani.
Cross References
Genesis 39:14akawaita watumishi wake wa nyumbani, akawaambia, “Tazameni! Huyu Mwebrania ameletwa hapa kutudhihaki! Aliingia hapa ndani ili akutane nami kimwili, lakini nikapiga kelele.
Exodus 23:1“Usieneze habari za uongo. Usimsaidie mtu mwovu kwa kuwa shahidi mwenye nia ya kudhuru wengine.
1 Kings 21:9Katika barua hizo aliandika: “Tangazeni siku ya watu kufunga na mkamketishe Nabothi mahali pa wazi miongoni mwa watu.
Psalms 55:3kwa sauti ya adui, 2 kwa kukaziwa macho na waovu, 1 kwa sababu wananiletea mateso juu yangu 2 na kunitukana kwa hasira zao. 1
Proverbs 12:19Midomo isemayo kweli hudumu milele, 2 bali ulimi wa uongo hudumu kwa muda mfupi tu. 1
Proverbs 19:9Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa, 2 naye amwagaye uongo ataangamia. 1