Kutoka 23:1
“Usieneze habari za uongo. Usimsaidie mtu mwovu kwa kuwa shahidi mwenye nia ya kudhuru wengine.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 20:16Usimshuhudie jirani yako uongo. 1
Leviticus 19:11“ ‘Usiibe. “ ‘Usiseme uongo. “ ‘Msidanganyane.
Deuteronomy 5:20Usimshuhudie jirani yako uongo. 1
2 Samuel 16:3Kisha mfalme akauliza, “Yuko wapi mwana wa bwana wako?” Siba akamwambia, “Anakawia Yerusalemu, kwa sababu anafikiri, ‘Leo nyumba ya Israeli itanirudishia utawala wa baba yangu.’ ”
1 Kings 21:10Lakini waketisheni watu wawili wabaya kabisa mkabala naye, nao washuhudie kuwa yeye amemlaani Mungu na mfalme. Kisha mtoeni nje na kumpiga kwa mawe hadi afe.”
Psalms 27:12Usiniachilie kwa nia za adui zangu, 2 kwa maana mashahidi wa uongo 2 wameinuka dhidi yangu, 2 wakipumua ujeuri. 1