The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 4 › Genesis 4:13

Genesis 4:13

Kaini akamwambia Bwana, “Adhabu yangu ni zaidi ya niwezavyo kustahimili.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Cain said unto the LORD, My punishment is greater than I can bear.

In Context

12Utakapoilima ardhi, haitakupa tena mazao yake. Utakuwa mtu wa kutangatanga duniani asiye na utulivu.”

14Leo unanifukuza kutoka nchi, nami nitafichwa mbali na uwepo wako. Nitakuwa mtu wa kutangatanga asiyetulia duniani na yeyote anionaye ataniua.”

Read all of Genesis 4

Cross References

Job 15:22Hukata tamaa kuokoka gizani; 2 amewekwa kwa ajili ya upanga. 1

Revelation 16:9Watu wakaunguzwa na hilo joto kali, wakalaani Jina la Mungu, aliyekuwa na uwezo juu ya mapigo haya, tena wakakataa kutubu na kumtukuza Mungu.

Revelation 16:21Mvua kubwa ya mawe yenye uzito wa talanta moja + 16:21 Talanta moja ni kama kilo 34. ikashuka kutoka mbinguni, ikawaangukia wanadamu. Nao wanadamu wakamlaani Mungu kwa ajili ya hayo mapigo ya mvua ya mawe, kwa sababu pigo hilo lilikuwa la kutisha.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 4:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 4:12Genesis 4Genesis 4:14 →