Ayubu 15:22
Hukata tamaa kuokoka gizani; 2 amewekwa kwa ajili ya upanga. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He believeth not that he shall return out of darkness, and he is waited for of the sword.
In Context
21Sauti za kutisha hujaa masikioni mwake; 2 katika kufanikiwa kwake, wanyangʼanyi humshambulia. 1
23Hutangatanga, akitafuta chakula; 2 anajua kwamba siku ya giza iko karibu. 1
Cross References
2 Kings 6:33Alipokuwa angali bado anazungumza nao, mjumbe akamfikia. Naye mfalme akasema, “Maafa haya yanatoka kwa Bwana. Kwa nini niendelee kumngoja Bwana zaidi?”
Job 9:16Hata kama ningemwita kwenye shauri, naye akakubali, 2 siamini kama angenisikiliza. 1
Job 20:24Ijapokuwa aikimbia silaha ya chuma, 2 mshale wa shaba utamchoma. 1
Isaiah 8:21Watazunguka katika nchi yote, wakiwa na dhiki na njaa. Watakapotaabika kwa njaa, watapatwa na hasira kali, nao, wakiwa wanatazama juu, watamlaani mfalme wao na Mungu wao.