Genesis 4:16
Kwa hiyo Kaini akaondoka mbele za Bwana akaenda kuishi katika nchi ya Nodi, iliyoko mashariki ya Edeni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Cain went out from the presence of the LORD, and dwelt in the land of Nod, on the east of Eden.
In Context
Cross References
Genesis 3:8Ndipo yule mwanaume na mkewe, waliposikia sauti ya Bwana Mungu alipokuwa akitembea bustanini jioni, wakajificha kutoka mbele za Bwana Mungu katikati ya miti ya bustani.
Exodus 20:18Watu walipoona ngurumo na radi, na kusikia mlio wa tarumbeta, na kuuona mlima katika moshi, walitetemeka kwa woga. Wakasimama mbali
2 Kings 24:20Ilikuwa ni kwa sababu ya hasira ya Bwana haya yote yalitokea Yerusalemu na Yuda, naye mwishoni akawaondoa mbele zake. Basi, Sedekia akaasi dhidi ya mfalme wa Babeli.
Job 2:7Basi Shetani akatoka mbele za Bwana naye akampiga Ayubu kwa majipu mabaya tangu nyayo za miguu yake hadi utosi wa kichwa.
Psalms 5:11Lakini wote wakimbiliao kwako na wafurahi, 2 waimbe kwa shangwe daima. 1 Ueneze ulinzi wako juu yao, 2 ili wale wapendao jina lako 2 wapate kukushangilia. 1
Jeremiah 23:39Kwa hiyo, hakika nitakusahau na kukutupa mbali na uso wangu pamoja na mji niliowapa ninyi na baba zenu.