Job 2:7
Basi Shetani akatoka mbele za Bwana naye akampiga Ayubu kwa majipu mabaya tangu nyayo za miguu yake hadi utosi wa kichwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Ndipo Ayubu akachukua kigae na kujikuna nacho huku akiketi kwenye majivu.
Cross References
Exodus 9:9Yatakuwa vumbi jepesi juu ya nchi yote ya Misri, pia yatatokea majipu yenye kufura juu ya watu na wanyama katika nchi yote.”
Deuteronomy 28:35Bwana atayapiga magoti yako na miguu yako kwa majipu yenye maumivu makali yasiyoponyeka, yakienea kutoka nyayo za miguu yako hadi utosini.
Job 1:11Lakini nyoosha mkono wako na kupiga kila kitu alicho nacho, naye kwa hakika atakulaani mbele za uso wako.”
Job 30:17Usiku mifupa yangu inachoma; 2 maumivu yanayonitafuna hayatulii kamwe. 1
Isaiah 1:6Kutoka wayo wako wa mguu hadi kwenye utosi wa kichwa chako 2 hakuna uzima: 1 ni majeraha matupu na makovu 2 na vidonda vitokavyo damu, 1 havikusafishwa au kufungwa 2 wala kulainishwa kwa mafuta. 1
Revelation 16:11wakamlaani Mungu wa mbinguni kwa sababu ya maumivu na majeraha yao, wala hawakutubu kwa ajili ya matendo yao maovu.