Genesis 4:18
Enoki akamzaa Iradi, Iradi akamzaa Mehuyaeli, Mehuyaeli akamzaa Methushaeli, na Methushaeli akamzaa Lameki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Lameki alioa wanawake wawili, mmoja aliitwa Ada, na mwingine Sila.
Cross References
Genesis 5:21Enoki alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela.
Genesis 36:2Esau akaoa wake kutoka miongoni mwa wanawake wa Kanaani: Ada binti wa Eloni Mhiti, Oholibama binti wa Ana, mjukuu wa kike wa Sibeoni Mhivi,