Genesis 36:2
Esau akaoa wake kutoka miongoni mwa wanawake wa Kanaani: Ada binti wa Eloni Mhiti, Oholibama binti wa Ana, mjukuu wa kike wa Sibeoni Mhivi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Hivi ndivyo vizazi vya Esau (yaani Edomu).
3pia akaoa Basemathi binti wa Ishmaeli, dada yake Nebayothi.
Cross References
Genesis 9:25akasema, 1 “Alaaniwe Kanaani! 2 Atakuwa mtumwa wa chini sana 2 kuliko watumwa wote kwa ndugu zake.”
Genesis 27:46Kisha Rebeka akamwambia Isaki, “Nimechukia kuishi kwa sababu ya hawa wanawake wa Kihiti. Ikiwa Yakobo ataoa mke miongoni mwa wanawake wa nchi hii, wanawake wa Kihiti kama hawa, sitakuwa na faida kuendelea kuishi.”
Genesis 36:25Watoto wa Ana walikuwa: 2 Dishoni na Oholibama binti wa Ana. 1