Genesis 4:20
Ada akamzaa Yabali ambaye ni baba wa wale walioishi katika mahema na kufuga wanyama.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Adah bare Jabal: he was the father of such as dwell in tents, and of such as have cattle.
In Context
19Lameki alioa wanawake wawili, mmoja aliitwa Ada, na mwingine Sila.
21Kaka yake aliitwa Yubali, aliyekuwa baba wa wote wapigao zeze na filimbi.
Cross References
Genesis 4:2Baadaye akamzaa Abeli ndugu yake. Basi Abeli akawa mfugaji, na Kaini akawa mkulima.
Genesis 25:27Watoto wakakua, naye Esau akakuwa mwindaji hodari, mtu wa mbugani, wakati Yakobo alikuwa mtu mtulivu, mwenye kukaa nyumbani.
1 Chronicles 4:4Penueli akamzaa Gedori, naye Ezeri akamzaa Husha. 1 Hawa walikuwa wazao wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrathi, na baba yake Bethlehemu. 1
John 8:44Ninyi ni watoto wa baba yenu ibilisi, nanyi mnataka kutimiza matakwa ya baba yenu. Yeye alikuwa muuaji tangu mwanzo, wala hakushikana na kweli maana hamna kweli ndani yake. Asemapo uongo husema yaliyo yake mwenyewe kwa maana yeye ni mwongo na baba wa huo uongo.
Hebrews 11:9Kwa imani alifanya maskani yake katika nchi ya ahadi kama mgeni katika nchi ya kigeni; aliishi katika mahema, kama Isaki na Yakobo walivyofanya, waliokuwa pia warithi pamoja naye wa ahadi ile ile.