Genesis 4:21
Kaka yake aliitwa Yubali, aliyekuwa baba wa wote wapigao zeze na filimbi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And his brother’s name was Jubal: he was the father of all such as handle the harp and organ.
In Context
20Ada akamzaa Yabali ambaye ni baba wa wale walioishi katika mahema na kufuga wanyama.
Cross References
Job 21:12Huimba nyimbo kwa matari na kwa kinubi, 2 nao huifurahia sauti ya filimbi. 1
Amos 6:5Ninyi mnapiga vinubi kama Daudi, 2 huku mkitunga nyimbo za vinanda mbalimbali. 1