Genesis 4:26
Naye Sethi akamzaa mwana, akamwita Enoshi. Wakati huo watu wakaanza kuliitia jina la Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 12:8Kutoka huko Abramu akasafiri kuelekea kwenye vilima mashariki ya Betheli, naye akapiga hema huko, Betheli ikiwa upande wa magharibi na Ai upande wa mashariki. Huko alimjengea Bwana madhabahu na akaliitia jina la Bwana.
Deuteronomy 26:17Umetangaza leo kwamba Bwana ndiye Mungu wako na kwamba utafuata njia zake, kwamba utayashika maagizo yake, amri zake na sheria zake nawe utamtii.
Psalms 116:17Nitakutolea dhabihu ya kukushukuru 2 na kuliita jina la Bwana. 1
Isaiah 48:1“Sikilizeni hili, ee nyumba ya Yakobo, 2 ninyi mnaoitwa kwa jina la Israeli, 2 na mnaotoka katika ukoo wa Yuda, 1 ninyi mnaoapa kwa jina la Bwana, 2 mnaomwomba Mungu wa Israeli, 2 lakini si katika kweli au kwa haki; 1
Jeremiah 33:16Katika siku hizo, Yuda ataokolewa 2 na Yerusalemu ataishi salama. 1 Hili ndilo jina atakaloitwa: 2 Bwana Haki Yetu.’
Zephaniah 3:9“Ndipo nitatakasa midomo ya mataifa, 2 kwamba wote waweze kuliitia jina la Bwana 2 na kumtumikia kwa pamoja. 1