Sefania 3:9
“Ndipo nitatakasa midomo ya mataifa, 2 kwamba wote waweze kuliitia jina la Bwana 2 na kumtumikia kwa pamoja. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 11:1Wakati huo dunia yote ilikuwa na lugha moja na msemo mmoja.
Psalms 22:27Miisho yote ya dunia itakumbuka 2 na kumgeukia Bwana, 1 nazo jamaa zote za mataifa 2 watasujudu mbele zake, 1
Psalms 113:3Kuanzia mawio ya jua hadi machweo yake, 2 jina la Bwana linapaswa kusifiwa. 1
Isaiah 19:18Katika siku hiyo miji mitano ya Misri, itazungumza lugha ya Kanaani, na kuapa kumtii Bwana Mwenye Nguvu Zote. Mji mmojawapo utaitwa Mji wa Uharibifu. + 19:18 Yaani Heliopoli (Mji wa Jua).
Ezekiel 37:17Ziunganishe pamoja kuwa fimbo moja ili kwamba ziwe fimbo moja katika mkono wako.
Zephaniah 2:11Bwana atakuwa wa kuhofisha kwao 2 atakapoangamiza miungu yote ya nchi. 1 Mataifa katika kila pwani yatamwabudu, 2 kila moja katika nchi yake. 1 Dhidi Ya Kushi 1