Genesis 40:11
Kikombe cha Farao kilikuwa mkononi mwangu, nikazitwaa zabibu, nikazikamua katika kikombe cha Farao, na nikaweka kikombe mkononi mwake.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Yosefu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Matawi matatu ni siku tatu.
Cross References
Genesis 49:11Atamfunga punda wake katika mzabibu, 2 naye mwana-punda wake kwenye tawi lililo bora zaidi; 1 atafua mavazi yake katika divai, 2 majoho yake katika damu ya mizabibu. 1
1 Kings 10:5chakula kilichokuwa mezani pake, jinsi maafisa wake walivyokaa, wahudumu katika majoho yao, wanyweshaji wake na sadaka za kuteketezwa alizotoa katika hekalu la Bwana, alipatwa na mshangao.
Nehemiah 1:11Ee Bwana, tega sikio lako na usikie maombi ya huyu mtumishi wako, na maombi ya watumishi wako wanaofurahia kuliheshimu Jina lako. Nipe leo, mimi mtumishi wako, mafanikio kwa kunipa kibali mbele ya mtu huyu.” Kwa maana nilikuwa mnyweshaji wa mfalme.