Genesis 40:12
Yosefu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Matawi matatu ni siku tatu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Joseph said unto him, This is the interpretation of it: The three branches are three days:
In Context
Cross References
Genesis 40:18Yosefu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Vikapu vitatu ni siku tatu.
Genesis 41:25Ndipo Yosefu akamwambia Farao, “Ndoto za Farao ni ndoto iyo hiyo moja. Mungu amemfunulia Farao jambo analokusudia kufanya karibuni.
Genesis 41:28“Ni kama vile nilivyomwambia Farao: Mungu amemwonyesha Farao jambo analokusudia kufanya karibuni.
Daniel 2:36“Hii ndiyo iliyokuwa ndoto, nasi sasa tutamfasiria mfalme.
Matthew 26:26Walipokuwa wanakula, Yesu akachukua mkate, akashukuru, akaumega, na kuwapa wanafunzi wake, akisema, “Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu.”
Galatians 4:25Basi Hagari anawakilisha Mlima Sinai ulioko Arabuni, na unafanana na Yerusalemu ya sasa ambayo iko utumwani pamoja na watoto wake.