bible.software › Genesis › Genesis 40 › Genesis 40:17
Genesis 40:17
Katika kikapu cha juu kulikuwa na aina zote za vyakula vilivyookwa kwa ajili ya Farao, lakini ndege walikuwa wakivila kutoka kwenye kikapu nilichokuwa nimebeba kichwani.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And in the uppermost basket there was of all manner of bakemeats for Pharaoh; and the birds did eat them out of the basket upon my head.
In Context
16Yule mwokaji mkuu alipoona kuwa Yosefu amefasiri ikiwa na maana nzuri, akamwambia Yosefu, “Mimi pia niliota ndoto: Kichwani mwangu kulikuwepo vikapu vitatu vya mikate.
18Yosefu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Vikapu vitatu ni siku tatu.
Read all of Genesis 40
Cross References
Genesis 49:20“Chakula cha Asheri kitakuwa kinono, 2 naye atatoa chakula kitamu kimfaacho mfalme. 1
This Verse In Other Editions
Study Genesis 40:17