The Bible Software
bible.software › Mwanzo › Mwanzo 49 › Mwanzo 49:20

Mwanzo 49:20

“Chakula cha Asheri kitakuwa kinono, 2 naye atatoa chakula kitamu kimfaacho mfalme. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Out of Asher his bread shall be fat, and he shall yield royal dainties.

In Context

19“Gadi atashambuliwa ghafula na kundi la washambuliaji, 2 lakini yeye atawageukia na kuwashinda kabisa. 1

21“Naftali ni kulungu jike aliyeachiwa huru 2 azaaye watoto wazuri. 1

Read all of Mwanzo 49

Cross References

Genesis 30:13Ndipo Lea aliposema, “Jinsi gani nilivyo na furaha! Wanawake wataniita furaha.” Kwa hiyo akamwita Asheri. + 30:13 Asheri maana yake Nimefurahi, yaani Mungu amenifurahisha.

Deuteronomy 33:24Kuhusu Asheri akasema: 1 “Aliyebarikiwa zaidi sana katika wana ni Asheri; 2 yeye na apate upendeleo kwa ndugu zake, 2 yeye na anawe miguu yake kwenye mafuta. 1

Joshua 19:31Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa ndio urithi wa kabila la Asheri, ukoo kwa ukoo. 1 Mgawo Kwa Naftali

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mwanzo 49:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mwanzo 49:19Mwanzo 49Mwanzo 49:21 →