Genesis 41:3
Baada yao ngʼombe wengine saba, wabaya na waliokonda, wakatokea mtoni Naili wakasimama kando ya wale wanono ukingoni mwa mto.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2wakati ngʼombe saba, wazuri na wanono, walitokea mtoni wakajilisha kwenye matete.
4Wale ngʼombe wabaya na waliokonda wakawala wale saba wazuri na wanono. Kisha Farao akaamka.
Cross References
Genesis 41:4Wale ngʼombe wabaya na waliokonda wakawala wale saba wazuri na wanono. Kisha Farao akaamka.