bible.software › Genesis › Genesis 41 › Genesis 41:2
Genesis 41:2
wakati ngʼombe saba, wazuri na wanono, walitokea mtoni wakajilisha kwenye matete.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And, behold, there came up out of the river seven well favoured kine and fatfleshed; and they fed in a meadow.
In Context
1Baada ya miaka miwili kamili kupita, Farao aliota ndoto: Tazama alikuwa amesimama kando ya Mto Naili,
3Baada yao ngʼombe wengine saba, wabaya na waliokonda, wakatokea mtoni Naili wakasimama kando ya wale wanono ukingoni mwa mto.
Read all of Genesis 41
This Verse In Other Editions
Study Genesis 41:2