Genesis 41:6
Baadaye, masuke mengine saba yakachipua, yakiwa membamba yaliyonyaushwa na upepo wa mashariki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And, behold, seven thin ears and blasted with the east wind sprung up after them.
In Context
Cross References
Ezekiel 17:10Hata kama utapandwa pengine, Je, utastawi? Je, hautanyauka kabisa wakati upepo wa mashariki utakapoupiga, yaani, hautanyauka kabisa katika udongo mzuri ambamo ulikuwa umestawi vizuri?’ ”
Hosea 13:15hata ingawa Efraimu atastawi 2 miongoni mwa ndugu zake. 1 Upepo wa mashariki kutoka kwa Bwana utakuja, 2 ukivuma kutoka jangwani, 1 chemchemi yake haitatoa maji 2 na kisima chake kitakauka. 1 Ghala lake litatekwa 2 hazina zake zote. 1