Hosea 13:15
hata ingawa Efraimu atastawi 2 miongoni mwa ndugu zake. 1 Upepo wa mashariki kutoka kwa Bwana utakuja, 2 ukivuma kutoka jangwani, 1 chemchemi yake haitatoa maji 2 na kisima chake kitakauka. 1 Ghala lake litatekwa 2 hazina zake zote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 41:23Baada ya hayo masuke mengine saba yakachipua, yaliyonyauka, membamba na yamekaushwa na upepo wa mashariki.
Genesis 48:19Lakini baba yake akakataa, akasema, “Ninajua, mwanangu, ninajua. Yeye pia atakuwa taifa, naye pia atakuwa mkuu. Hata hivyo, ndugu yake mdogo atakuwa mkuu kuliko yeye, nao wazao wake watakuwa kundi la mataifa.”
Deuteronomy 33:17Katika fahari yeye ni kama fahali mzaliwa wa kwanza; 2 pembe zake ni pembe za nyati, 1 na kwa pembe hizo atapiga mataifa, 2 hata yaliyo miisho ya dunia. 1 Hivyo ndivyo yalivyo makumi elfu ya Efraimu; 2 hivyo ndivyo yalivyo maelfu ya Manase.”
Psalms 1:4Sivyo walivyo waovu! 2 Wao ni kama makapi 2 yapeperushwayo na upepo. 1
Isaiah 14:21Andaa mahali pa kuwachinjia wanawe 2 kwa ajili ya dhambi za baba zao, 1 wasije wakainuka ili kuirithi nchi 2 na kuijaza dunia kwa miji yao. 1
Isaiah 41:16Utaipepeta, nao upepo utaichukua, 2 dhoruba itaipeperushia mbali. 1 Bali wewe utajifurahisha katika Bwana 2 na katika utukufu wa yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1