The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 42 › Genesis 42:1

Genesis 42:1

Wakati Yakobo alipofahamu kuwa kuna nafaka huko Misri, akawaambia wanawe, “Mbona mnakaa tu hapa mnatazamana?”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Now when Jacob saw that there was corn in Egypt, Jacob said unto his sons, Why do ye look one upon another?

In Context

2Akaendelea kuwaambia, “Nimesikia kuwa huko Misri kuna nafaka. Telemkeni huko mkanunue chakula kwa ajili yetu, ili tuweze kuishi wala tusife.”

Read all of Genesis 42

Cross References

Genesis 41:57Pia nchi nyingine zote zilikuja Misri kununua nafaka kutoka kwa Yosefu, kwa sababu njaa ilikuwa kali mno duniani kote.

Exodus 5:19Wasimamizi wa Kiisraeli walitambua kuwa wako taabani walipoambiwa, “Hamtakiwi kupunguza idadi ya matofali mliotakiwa kutengeneza kila siku.”

Joshua 7:10Bwana akamwambia Yoshua, “Simama! Unafanya nini hapo chini kifudifudi?

2 Kings 8:3Baada ya miaka saba, yule mwanamke akarudi kutoka nchi ya Wafilisti, akaenda kwa mfalme kumsihi kwa ajili ya nyumba yake na shamba lake.

Jeremiah 8:14“Kwa nini tunaketi hapa? 2 Kusanyikeni pamoja! 1 Tukimbilie kwenye miji yenye maboma, 2 tukaangamie huko! 1 Kwa kuwa Bwana, Mungu wetu 2 ametuhukumu kuangamia, 1 na kutupa maji yenye sumu tunywe, 2 kwa sababu tumemtenda dhambi. 1

Acts 7:12Lakini Yakobo aliposikia kwamba kuna nafaka huko Misri, aliwatuma baba zetu, wakaenda huko kwa mara yao ya kwanza.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 42:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Genesis 42Genesis 42:2 →