Genesis 42:2
Akaendelea kuwaambia, “Nimesikia kuwa huko Misri kuna nafaka. Telemkeni huko mkanunue chakula kwa ajili yetu, ili tuweze kuishi wala tusife.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Ndipo wale ndugu kumi wa Yosefu, wakateremka huko Misri kununua nafaka.
Cross References
Genesis 43:2Hivyo wakati walikuwa wamemaliza kula nafaka yote waliyoileta kutoka Misri, Yakobo baba yao akawaambia, “Rudini Misri mkatununulie chakula kingine zaidi.”
Genesis 43:8Ndipo Yuda akamwambia baba yake Israeli, “Mtume kijana pamoja nami, nasi tutaondoka mara, ili sisi na wewe pamoja na watoto wetu tuweze kuishi, wala tusife.
Psalms 118:17Sitakufa, bali nitaishi, 2 nami nitatangaza yale Bwana aliyoyatenda. 1
Matthew 4:4Lakini Yesu akajibu, “Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.’ ”