Mwanzo 42:14
Yosefu akawaambia, “Ni sawa kabisa kama nilivyowaambia: Ninyi ni wapelelezi!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Joseph said unto them, That is it that I spake unto you, saying, Ye are spies:
In Context
Cross References
Genesis 42:9Ndipo Yosefu alipokumbuka ndoto zake kuwahusu wao, akawaambia, “Ninyi ni wapelelezi! Mmekuja kuangalia mahali ambapo nchi yetu haina ulinzi.”
Job 19:11Hasira yake imewaka juu yangu; 2 amenihesabu kuwa miongoni mwa adui zake. 1