Ayubu 19:11
Hasira yake imewaka juu yangu; 2 amenihesabu kuwa miongoni mwa adui zake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He hath also kindled his wrath against me, and he counteth me unto him as one of his enemies.
In Context
10Amenibomoa kila upande hadi nimeisha; 2 amelingʼoa tegemeo langu kama mti. 1
12Majeshi yake yananisogelea kwa nguvu; 2 yamenizingira, 2 yamepiga kambi kulizunguka hema langu. 1
Cross References
Job 13:24Kwa nini kuuficha uso wako 2 na kunihesabu mimi kuwa adui yako? 1
Job 16:9Mungu amenishambulia na kunirarua katika hasira yake, 2 na kunisagia meno yake; 2 adui yangu hunikazia macho yake makali. 1
Psalms 89:46Hata lini, Ee Bwana? Utajificha milele? 2 Ghadhabu yako itawaka kama moto hata lini? 1
Lamentations 2:4Ameupinda upinde wake kama adui, 2 mkono wake wa kuume uko tayari. 1 Kama vile adui amewachinja 2 wote waliokuwa wanapendeza jicho, 1 amemwaga ghadhabu yake kama moto 2 juu ya hema la Binti Sayuni. 1