Genesis 42:20
Lakini ni lazima mniletee ndugu yenu mdogo hapa, ili maneno yenu yathibitike na kwamba msife.” Wakakubali kufanya hivyo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 6:22Noa akafanya kila kitu kama vile Mungu alivyomwamuru.
Genesis 42:26wakapakiza nafaka juu ya punda zao, wakaondoka.
Genesis 43:3Lakini Yuda akamwambia, “Mtu yule alituonya kwa msisitizo, ‘Hamtauona uso wangu tena mpaka mje na ndugu yenu.’
Genesis 43:19Hivyo wakamwendea msimamizi wa nyumba wa Yosefu na kuzungumza naye kwenye ingilio la nyumbani.
Genesis 44:23Lakini ukawaambia watumishi wako, ‘Ndugu yenu mdogo asiposhuka pamoja nanyi, hamtauona uso wangu tena.’