Genesis 6:22
Noa akafanya kila kitu kama vile Mungu alivyomwamuru.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thus did Noah; according to all that God commanded him, so did he.
In Context
21Utachukua kila aina ya chakula kitakacholiwa, na ukiweke akiba kama chakula kwa ajili yako na yao.”
Cross References
Genesis 7:5Noa akafanya yote kama Bwana alivyomwamuru.
Genesis 7:16Wanyama walioingia katika safina walikuwa wa kiume na wa kike, wa kila kiumbe chenye uhai kama Mungu alivyomwamuru Noa, ndipo Bwana akamfungia ndani.
Exodus 7:6Mose na Aroni wakafanya sawasawa kama vile Bwana alivyowaagiza.
Exodus 40:19Kisha akalitandaza hema juu ya Maskani ya Mungu na kuifunika hema, kama Bwana alivyomwagiza.
Exodus 40:23na kupanga mikate juu yake mbele za Bwana, kama Bwana alivyomwagiza.
Exodus 40:27na kufukiza uvumba wenye harufu nzuri, kama Bwana alivyomwagiza.