Mwanzo 42:30
“Huyo mtu ambaye ndiye bwana katika nchi hiyo alisema nasi kwa ukali, akatutendea kana kwamba sisi tulikuwa tunaipeleleza nchi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The man, who is the lord of the land, spake roughly to us, and took us for spies of the country.
In Context
31Lakini tulimwambia, ‘Sisi ni watu waaminifu, sio wapelelezi.
Cross References
Genesis 42:9Ndipo Yosefu alipokumbuka ndoto zake kuwahusu wao, akawaambia, “Ninyi ni wapelelezi! Mmekuja kuangalia mahali ambapo nchi yetu haina ulinzi.”