bible.software › Mwanzo › Mwanzo 42 › Mwanzo 42:31
Mwanzo 42:31
Lakini tulimwambia, ‘Sisi ni watu waaminifu, sio wapelelezi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And we said unto him, We are true men; we are no spies:
In Context
30“Huyo mtu ambaye ndiye bwana katika nchi hiyo alisema nasi kwa ukali, akatutendea kana kwamba sisi tulikuwa tunaipeleleza nchi.
32Tulizaliwa ndugu kumi na wawili, wana wa baba mmoja. Mmoja alikufa, na mdogo wetu wa mwisho yupo na baba yetu huko Kanaani.’
Read all of Mwanzo 42
Cross References
Genesis 42:11Sisi sote ni wana wa baba mmoja. Watumishi wako ni watu waaminifu, wala sio wapelelezi.”
This Verse In Other Editions
Study Mwanzo 42:31